Posts

SERIKALI YABAINISHA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA INAYOENDELEA NCHI NZIMA...

RC SENYAMULE AHIMIZA WANANCHI WA DODOMA KUHUDHURIA KWENYE TUKIO LA UZINDUZI WA MATOKEO YA SENSA.

MAKAMU WAPILI WA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ASEMA MAANDALI YA UZINDUZI MATOKEO YA SENSA YAFIKIA ASILIMIA 85.

JIJI LA DODOMA LAJIPANGA UTOAJI CHAKULA KWA WANAFUNZI

MAENEO YALIYOMEGWA KWENYE HIFADHI YAPANGIWE MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI

BODI YA NYAMA: KILO HAMSINI YA NYAMA KULIWA NA MTU MMOJA KWA MWAKA

RAIS SAMIA KUZINDUA MUONGOZO WA MATOKEO YA SENSA

Rais Samia,Rais Mwinyi na Marais wastaafu kutunukiwa tuzo maalum kwa kufanikisha Sensa...

UJENZI WA DARASA LUKUNDO SEC UMEFIKIA 30%

UJENZI WA DARASA ITEGA SEC KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WANAFUNZI

SERIKALI YACHUKUA HATUA KUTEKELEZA MIRADI KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIANCHI..

KAYA 255 KUPISHA HIFADHI YA SHAMBA LA SAO HILL IRINGA

TSC YAWATAKA WALIMU KUENDELEA KUZINGATIA MIIKO NA MAADILI YA KAZI ZAO

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR AITAKA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUONGEZA UELEWA KWA WATANZANIA KUHUSU MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JUMUIYA YA KIMATAIFA

HOSPITAL YA BENJAMINI MKAPA YAOKOA FEDHA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 4.43 KWA WAGONJWA AMBAO WANGETIBIWA NJE YA NCHI

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.