Posts

Wizara ya Habari Yavuka Lengo Ukusanyaji Mapato Mwaka 2020/2021

NHIF DODOMA YAHIMIZA WANAFUNZI VYUONI KUJIUNGA NA BIMA YA AFYA KUWA NA UHAKIKA WA MATIBABU

WADAU WA PARETO WAKUBALIANA KUONGEZA UZALISHAJI HADI TANI 9000 IFIKAPO 2022/23

SERIKALI YAOMBWA KUWEKA MADAWATI MAALAMU YA HUDUMA YA AFYA KWA WALEMAVU

ASKARI WATATU UHAMIAJI WASIMAMISHWA KAZI

MKURUGENZI AWAHIMIZA WATALAAMU WA MAJENGO KUWEKA MIUNDOMBINU RAFIKI KWA WATU WENYE ULEMAVU

WIZARA YA AFYA YAKAGUA MUONGOZO NA. 7 WA USHAURI WA WASAFIRI UWANJA WA NDEGE -KIA

ASKARI 3 WASIMAMISHWA KAZI UHAMIAJI

UFUGAJI UNALIPA-DC NJOMBE

BIMA ITAWAKOMBOA WAFUGAJI NA WAVUVI NCHINI-ULEGA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.