Posts

WANANCHI WA SIHA WASHUKURU SERIKALI KUTEKETEZA NZIGE

MKANDARASI APEWA WILI MBILI KUREJESHA PAMPU

Naibu waziri wa Nishati asisitiza kufanya kazi kwa kasi, ubunifu na usahihi

Wizara ya maji yaahidi sh.milioni 309 mradi wa maji Ilolo-Bulongwa Jimbo la Makete

JKT na wizara ya kilimo wasaini mkataba wa maridhiano Na Rhoda Simba, DODOMA

Jafo azitaka mamlaka za maji nchini kuweka miundombinu rafiki kwa Jeshi la zimamoto

Waziri Mkuu aziaagiza Mamlaka za serikali za mitaa kutenga bajeti za kuhifadhi maeneo ya kihistoria

NAIBU WAZIRI ATOA ONYO KWA MENEJA WA RUWASA CHATO

WATANZANIA WASHAURIWA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA NDANI VYA UTALII

TALAKA ZAWAKIMBIZA WANAWAKE NAFASI ZA UONGOZI

TANESCO fanyeni mikutano ya mara kwa mara na wafanyakazi wenu

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.