Posts

NIC : TUMETENGENEZA FAIDA YA ZAIDI YA BILIONI 73 KATIKA KIPINDI CHA MWAKA 2020/2021...

CHANDE: WADAU NA WATUMISHI MNAOHUSIKA NA UNUNUZI WA UMMA MZINGATIE SHERIA MSILIINGIZE TAIFA KWENYE HASARA

NIC YAWATAKA WANANCHI KUJIUNGA NA BIMA MBALIMBALI

Wakuu wa Mikoa Kusimamia Usajili wa wakulima utoaji mbolea ya ruzuku

RAIS SAMIA AAGIZA WALIOTUMIA VIBAYA FEDHA ZA LISHE KUCHUKULIWA HATUA

RAIS SAMIA AZINDUA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI,AWATAKA KUTOA ELIMU KWA UMMA

WANADODOMA WASHAURIWA KUJALI AFYA YA MBWA NA PAKA

ZAIDI YA WATU 60,000 DUNIANI HUFARIKI KWA KICHAA CHA MBWA KILA MWAKA

WANANCHI JIJI LA DODOMA WAELEZWA FAIDA ZA USHURU WA HUDUMA

SAKATA LA FAMILIA YA MAREHEMU RICHARD BUKOMBE LACHUKUA SURA MPYA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.