Posts

PROFESA MKENDA ASEMA IPO HAJA YA KUPELEKA MIKOPO KWENYE ELIMU YA VYUO VYA UFUNDI.

NAPE AWATAKA WAFANYAKAZI WIZARA YA HABARI KUZINGATIA MISINGI YA SHERIA.

WATAALAM WA ANUANI ZA MAKAZI KUELEKEA KATA YA MBABALA KUHAMASISHA

MEIMOSI 2022 DODOMA KIVINGINE

MEIMOSI 2022 DODOMA KIVINGINE

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR MIRADI INATEKELEZWA KWA USHIRIKIANO

WAZIRI CHANA AIPONGEZA MALIASILI SPORTS CLUB

KEISHA AMEKABITHI VYAKULA KWA WATU WENYE ULEMAVU VYENYE THAMANI YA MILIONI MOJA NA LAKI TANO

MASHAMBA YA TANZANIA PLANTATIONS LTD YAKABIDHIWA KWA SERIKALI

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.