Posts

NFRA Wajipange kununua Mahindi mengi kwa Wakulima – RC Wangabo

DODOMA JIJI FC KIBARUANI DHITI YA MWADUI FC YA SHINYANGA

TIJA KWENYE KILIMO NDIO KIPAUMBELE- PROF. MKENDA

TAMASHA LA UTALII LAFANA NYASA

BILA MIFUMO THABITI HATUWEZI KUJENGA NA KUIMARISHA USHIRIKA IMARA – KATIBU MKUU KUSAYA

PICHA:WAZIRI JAFO NA MKURUGENZI WA KONDOA MJI WAKIWASILI ENEO LA UJENZI WA MADARASA SHULE YA SEKONDARI ULA

VIJANA WA CHANG’OMBE,KIZOTA,MAILIMBILI,KIKUYU WAONYWA

TOZO ZISIZO RAFIKI KUKUZA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI KUONDOLEWA

WAZIRI JAFO AWAPONGEZA KONDOA MJI KUSIMAMIA UJENZI WA MADARASA

MWENYEKITI BAKWATA ATOA NENO KWA WAZAZI NA WALEZI WA DINI YA KIISLAMU

KMC FC KUONDOKA LEO KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

ONGEZENI KASI KATIKA HUDUMA ZA MAABARA: DKT. MHAME

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.