Posts

MITAMBO YA KUFUA HEWA TIBA (OKSIJENI) YASIMIKWA HOSPITALI ZA RUFAA ZA MIKOA SABA

KMC FC KUSHUKA DIMBA LA JAMHURI KESHO DHIDI YA DODOMA JIJI MICHUANO YA KOMBE LA ASFC

RAIS SAMIA ACHAGULIWA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM TAIFA

PROF. KOMBA ATAKA TSC IONE FAHARI KUHUDUMIA WALIMU WENYE MAADILI

PROF. KOMBA ATAKA TSC IONE FAHARI KUHUDUMIA WALIMU WENYE MAADILI

UBORESHWAJI WA ELIMU KIPAUMBELE JIJI LA DODOMA

MADIWANI JIJI LA DODOMA WASHAURIWA KUTATUA CHANGAMOTO MAPEMA

KAMATI ZA NIDHAMU KWA WALIMU SIMAMIENI HAKI HATA KAMA ITAWAGHARIMU – WAKILI ODONGO

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.