Posts

POLISI DODOMA WAELEKEZA ASKARI WOTE KAMPUNI BINAFSI KUPITIA MAFUNZO

"WANAFUNZI WA KIKE MSIJIRAHISISHE TUPUNGUZE UKATILI" DC KASESELA

JAMII YATAKIWA KUCHANGIA UENDELEZAJI WA SAYANSI NA TEKNOLOJIA NCHINI

WAZIRI UMMY AWATOA HOFU WATANZANIA JUU YA UGONJWA WA CORONA

SHIRIKA LA SUMA JKT LAJIENDESHA KWA FAIDA NCHINI

KWARESMA FURSA TUJITAFAKARI NA KUMPA MUNGU NAFASI YA KWANZA

BIMA INA UMUHIMU KATIKA KUJENGA UCHUMI

Wahasibu, Wakaguzi wa TAA tumieni vyema mafunzo ya IPSAS - Kaimu Mkurugenzi Mkuu

ACT WAZALENDO KUSIMAMIA UADILIFU NA DEMOKRASIA UCHAGUZI WA NDANI

BERNARD MEMBE AVULIWA UANACHAMA CCM

DC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WAFANYAO VITENDO VYA KIKATILI KWA WANAFUNZI

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.