Posts

KINANA ATEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI CCM TANZANIA BARA

WAZIRI NDALICHAKO ATAKA MUONGOZO WA SADC WA KULINDA AJIRA KWA WATOTO KUZINGATIA MAADILI YA KIAFRIKA

EURO MILIONI 171 KUTEKELEZA MRADI WA MAJI SIMIYU

MASAUNI ATOA MIEZI SITA KWA WAMILIKI WA MAGARI WALIOTOA VIDHIBITI MWENDO

WARAIBU DAWA ZA KULEVYA KUPATIWA MAFUNZO YA UKUZAJI UJUZI

KIKAO KAZI CHA TIMU YA WATAALAM WA HIFADHI YA JAMII KUPITIA NA KUBORESHA RASIMU YA SERA YA TAIFA YA HIFADHI YA JAMII

WAZIRI JAFO APONGEZA WAFANYAKAZI OFISI YA MAKAMU WA RAIS KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAO NA UTATUZI WA HOJA 11 ZA MUUNGANO

Naibu Katibu Mkuu Nishati, akagua eneo la upakuaji mafuta katika kina kirefu cha Bahari Kigamboni

WAZIRI DKT. NDUMBARO ATETA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI, DKT. DONALD WRIGHT KUHUSU UWEKEZAJI MAHIRI KATIKA MAENEO YA WANYAMAPORI (SWICA)

JAMII YATAKIWA KUWAFUNDISHA WATOTO KUHUSU KUTOTOA NA KUTOPOKEA RUSHWAA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.