Posts

WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KULIOMBEA TAIFA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU

WIZARA YA AFYA INAWATAKIA EID MUBARAK

OR MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA INAWATAKIA EID AL ADHA

CHUO CHA DECCA KINAWATAKIA WAISLAM WOTE EID-AL-ADHA

WIZARA YA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI INAWATAKIA WAISLAMU WOTE EID MUBARAK

WIZARA YA AFYA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA,WAZEE NA WATOTO INAWATAKIA WAISLAMU SIKUKU NJEMA YA EID MUBARAK

SALAMU ZA SIKUKU YA EID AL ADHA

WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA POLISI KUKAA MGUU SAWA UCHAGUZI MKUU, AIPONGEZA RUFIJI KUSAMBARATISHA WAHALIFU

CHAMA CHA ADC CHATOA FOMU ZA UBUNGE,WAWAKILISHI NA MADIWANI WENGI WAKIWA NI WANAWAKE

JESHI LA MAGEREZA DODOMA LALEGEZA MASHARTI KATAZO LA KUTOTEMBELEA WAFUNGWA

TRC KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA SERIKALI NA BINAFSI

MAOFISA MIPANGO MIJI WATAKIWA KUACHA TABIA YA KUACHIA KAMPUNI BINAFSI KURASIMISHA ARDHI KATIKA MAENEO BILA KUWA NA USIMAMIZI WAO

TANZANIA KINARA AFRIKA UJENZI WA MIUNDOBINU SEKTA YA AFYA

WANAFUNZI ZAIDI YA 20 SHULE YA SEKONDARI KATUMBA WILAYANI MPANDA WAFUKUZWA SHULE,WAZAZI WASHINDWA KUMUDU MICHANGO

Wananchi wameshauriwa kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara na kuwa na bima aa afya ambayo itawasaidia pindi watakapuuguwa

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.