Posts

Wananchi 437 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari ambapo asilimia 60 wamekutwa na matatizo

WATUMISHI WA SERIKALI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUBORESHA MASLAHI YAO

DC SHEKIMWERI ASHAURI WATUMISHI KUTENDEA HAKI ONGEZEKO MISHAHARA

MKURUGENZI DODOMA JIJI AMPONGEZA RAIS SAMIA KUBORESHA MASLAHI YA WATUMISHI

Wananchi 437 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari ambapo asilimia 60 wamekutwa na matatizo

WAFANYABIASHARA SOKO LA MAJENGO WAHIMIZWA KUZINGATIA USAFI KATIKA MAENEO YAO YA BIASHARA

WAZIRI DKT MABULA ATAKA ‘CLINIC’ ZA ARDHI KUTATUA CHANGAMOTO ZA ARDHI

Kesi 39 za Udhalilishaji zaibuliwa na Mtandao wa Kupinga Udhalilishaji Pemba kwa miezi 5

RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUFANYA MABORESHO YA MASLAHI YA WATUMISHI

DKT. JAFO: IYUMBU PARK IKITUMIKA VIZURI INAWEZA KUWA CHANZO CHA UTALII

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKANUSHA ORODHA INAYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU KUTOKA KWA NAFASI ZA KAZI KWA MAKARANI

JAJI MSTAAFU DAVID MRANGO AAGWA KITAALUMA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.