Posts

BILIONI 27 ZATOLEWA KUBORESHA BARABARA ZA RUKWA- RC MKIRIKITI

STORI NAIBU WAZIRI RIDHIWANI AKIFUNGA KIKAO KAZI CHA WIZARA YA ARDHI

WAZIRI NDALICHAKO APONGEZA UWEKEZAJI KIWANDA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KILIMANJARO

Serikali yaombwa kuyaingiza magonjwa yasiyoambukiza katika bima ya afya kwa watu wote

MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA HUWEZA KUPELEKEA ULAGAI WA KINGONO KWA WATOTO NA VIJANA BALEHE

SERIKALI YAAHIDI KULINDA NA KUSIMAMIA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU

HALMASHAURI TOENI FEDHA KUTEKELEZA AFUA ZA LISHE- RC MKIRIKITI

SERIKALI KUBORESHA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.