Posts

WATENDAJI WAKUU IDARA ZA MAJI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA USHIRIKIANO KUSAIDIA WANANCHI KUPATA MAJI YA UHAKIKA

Zoran Zaev aidhinishwa kuwa Waziri Mkuu wa Macedonia

Shule ya Mivumoni Islamic yateketea kwa moto

Waandishi Mtwara wapigwa msasa kuhusu Corona

Waalimu Rukwa wapania kubadili tabia za wanafunzi kuhusu hedhi shuleni

WANANCHI WASHAURIWA KUWAPIGIA KURA VIONGOZI WATAKAO LETA MAENDELEO

WATOTO 5 WENYE UALBINO WAPEWA MSAADA WENYE THAMANI YA ZAIDI YA LAKI 9

JPM KUJENGA UWANJA MKUBWA WA MICHEZO JIJI LA DODOMA

“WAKULIMA WANAHITAJI MBOLEA YENYE UBORA NA BEI NAFUU” –KM KUSAYA

HABARI KUU MAGAZETI YA TAREHE 28 AGOSTI, 2020

TUME YAWEKA WAZI WAGOMBEA PEKEE WA UBUNGE WALIOPITA BILA KUPINGWA

CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI FANYENI TAFITI KUBORESHA UTENDAJI KAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA – KM KUSAYA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.