Posts

Majaliwa: Serikali imetenga bilioni 10 kukarabati miundombinu ya michezo ....

WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA WAMILIKI WA VIWANDA KUTOA MIKATABA YA KAZI KWA WAFANYAKAZI

Kampuni ya TOL Gases inavyoongeza chachu ya maendeleo mkoani Mbeya

Mgawo wa umeme katika vijiji 20 Ludewa wapatiwa ufumbuzi na Makamba

MKURUGENZI MKUU REA ASISITIZA UCHAPAKAZI KWA WATUMISHI

WAZIRI JAFO UVUTIWA USAFI JIJI LA DODOMA

MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI TRACKSUITS 120 WANAMICHEZO WA UMISSETA DODOMA MJINI

SHEKIMWERI APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KUHUDUMIA WANANCHI KUPITIA KAMPENI YA AFYA BOMBA.

TMDA YAKAMATA DAWA,VIFAA TIBA NA VITENDANISHI AMBAVYO HAVIJASAJILIWA.

Serikali yatangaza kuanza kwa mafunzo ya Makarani na Wasimaizi wa Sensa.

Simbachawe aweka wazi vipaumbele vya bajeti ofisi ya Waziri Mkuu.

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.