Posts

WAZIRI AWESO AHIMIZA UAMINIFU ,UADILIFU KWENYE UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI

TAASISI YA UTAFITI YATAKIWA KUISHIRIKISHA SERIKALI

WATENDAJI KATA NA MAAFISA TARAFA SIMAMIENI MAPATO YA HALMASHAURI- RC MKIRIKITI

WATUMISHI HUDUMA ZA AFYA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA ZAO

WAKAZI DODOMA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUPATA HUDUMA ZA AFYA KWA MADAKTARI BINGWA

WATAALAM WA MIFUGO WATAKIWA KUTOA ELIMU YA KITAALAM KWA WAFUGAJI

Wizara za Maji, Mifugo na Uvuvi mabingwa wa karata

NAIBU WAZIRI DKT MABULA ATEMBELEA TIMU YA WIZARA YA ARDHI INAYOSHIRIKI MICHUANO YA SHIMIWI MOROGORO

Ikulu, Ukaguzi na Uchukuzi zafuzu Nane bora

UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAHAKAMA WAPAMBA MOTO

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.