Posts

TAARIFA YA KIKAO CHA KUKABIDHI KAZI ZA UJENZI WA BARABARA ZA WILAYA YA CHAMWINO

WANUFAIKA WA MRADI WA VIUNGO ZANZIBAR WAPATIWA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGA MBOGA

WAHANDISI 630 KULA KIAPO CHA UTII

MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA AMTAJA DKT. KIKWETE KWA KUMJENGEA MSINGI

TENDENI HAKI KWA WATU WOTE BILA KUPOKEA WALA KUTOA RUSHWA-PROF. OLE GABRIEL

BILION 1.3 IMETOLEWA KUMALIZA MTAMBO WA USAMBAZAJI MAJI IYUMBU DODOMA

SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 1.3 KUTATUA KERO ZA MAJI DODOMA

PROFESA MKENDA AELEZA SABABU YA KUTOTOA KIBALI CHA UAGIZAJI WA SUKARI NCHINI

ULEGA AAGIZA WATENDAJI KUSIMAMIA MAELEKEZO YA VIONGOZI

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.