Posts

Wanahabri wabuni tunzo za Dkt. Mwinyi na Maalim Seif Z’bar

FORVAC ilivyodhamiria kuongeza thamani ya mazao ya misitu kwa wananchi wilayani Mbinga

WAMILIKI WA MAABARA BUBU WAPEWA MWEZI MMOJA KUSAJILI MAABARA ZAO KUEPUKA KUFUNGIWA

MAELEZO MAFUPI YANAYOMUHUSU MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGAMO WA TANZANIA DR. PHILIP ISIDORY MPANGO

HAYATI DKT MAGUFULI KUENDELEA KUKUMBUKWA KWA HAYA..

Kusaya-vyuo vya mafunzo ya kilimo ni kitovu cha kuzalisha wataalamu wa kilimo

WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUMUAMINI MUNGU

WATANZANIA WATAKIWA KUMUOMBE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

SERIKALI ITAHAKIKISHA UPATIKANAJI WA DAWA UNAKUWA WA KURIDHISHA

USIYOYAJUA KUHUSU KIWANJA CHA NDEGE SONGEA

YPC YAIPONGEZA SERIKALI KUBORESHA SERA YA VIJANA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.