Posts

Mtumishi Wa Afya Akamatwa Na Polisi Kwa Tuhuma Za wizi Wa Dawa

Chamwino waunda Mabaraza kupinga vitendo vya kikatili dhidi ya watoto

DKT. BASHIRU: AWAOMBA WANANCHI KUPUUZA SERA NA KAULI ZINAZOHIMIZA UVIVU ZA BAADHI YA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI

TARURA SINGIDA KUPIGA FAINI WANAOKIUKA SHERIA ZA MAEGESHO

WABUNIFU NCHINI WATAKIWA KUSAJILI KAZI ZAO

CHANGAMOTO KIVUKO CHA MIGUU MTAA WA HAZINA

JAPAN KUSAIDIA KUFUFUA SHIRIKA LA UVUVI TANZANIA

JAMII YASHAURIWA KUHAMASISHA UMUHIMU W ELIMU VIJIJINI

Vijana washauliwa kuwekeza Kilimo cha Nyanya

KMC Hoi Nyumbani Mbele ya Simba SC

ZAIDI YA BILIONI 3.5 ZAKUSANYWA KUPITIA SEKTA YA MADINI MKOANI GEITA

Faru Fausta Afariki Dunia Akiwa Na Miaka 57

WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUFUATA MATAKWA YA MIKATABA YA MASOKO DOODMA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.