Posts

WATANZANIA WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA UKIMWI

TUMIENI VYAMA VYA USHIRIKA KUTAFUTA SOKO LA MAHINDI -RC MKIRIKITI

MBUNGE wa Jimbo la Nyasa ampongeza na kumshukuru Rais Samia kwa Kutekeleza Miradi ya Maji Nyasa

NAIBU WAZIRI MALIASILI AWATAKA WAWEKEZAJI KUWEKEZA NYASA

RC MKIRIKITI: HALMASHAURI TEKELEZENI MIRADI YA MAENDELEO KWA UBORA

DC. NYASA AZINDUA HUDUMA ZA KULAZA WAGONJWA NA UPASUAJI

"RUKWA TUPO TAYARI KWA CHANJO YA UVIKO 19 "- RC MKIRIKITI

Kamati ya siasa CCM Wilaya ya Nyasa Yaridhishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

RC MKIRIKITI AAGIZA FORODHA KILANGAWANA SUMBAWANGA KUANZA KAZI

SERIKALI NA MKAKATI WA KUONDOA TATIZO LA USIKIVU WA RADIO IFIKAPO 2025

FANYENI AJENDA YA UPATIKAJI WA DAWA IWE YA KUDUMU: DKT. GWAJIMA

NEMC WASHIRIKIANA NA SUA KUZINDUA WARSHA YA MRADI WA UTAFITI WILAYANI MBARALI MKOANI MBEYA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.