Posts

KLABU YA MICHEZO YA BUNGE YAPOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA SPOTS PESA

SEKTA ZA MIFUGO SMT NA SMZ WAKUTANA NA KUWEKA MIKAKATI KUENDELEZA SEKTA HIZO

CHUO CHA ARDHI MOROGORO CHATAKIWA KUWEKA MIKAKATI KUKAMILISHA URASIMISHAJI MAKAZI

WAZIRI MAJALIWA KUWA MGENI RASMI KWENYE SHEREHE ZA KITAIFA ZA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU

Wajumbe wa kamati ya ushauri mradi wa Viungo wafurashishwa na utelezaji mradi huo kwa mwaka mmoja

SHIRIKA LA NYUMBA (NHC) KUANZA KUWAONDOA WADAIWA SUGU WA NYUMBA ZAKE

SERIKALI YADHAMIRIA KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

Shule ya Msingi Museveni italeta manufaa ya kuongeza fursa kwa wanafunzi-Rais Samia

HAKUNA SABABU YA KUGOMBEA FITO: JAJI KIONGOZI

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.