Posts

FILAMU YA THE ROYAL TOUR ILIYOTAFSIRIWA KWA KIJAPAN YAZINDULIWA JAPAN

DODOMA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA KILIMO UTALII

SERIKALI YAUNGA MKONO TAMASHA LA MUZIKI WA REGGAE ZANZIBAR

UJUMBE KUTOKA SERIKALI YA UJERUMANI KUFANYA ZIARA YA SIKU MBILI HIFADHI YA SERENGETI

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA WAHAKIKISHIA WADAU UTAYARI SERIKALI AWAMU YA SITA KUPOKEA WATALII

Serikali yaongeza wanyamapori hifadhi ndogo ya Luhira Songea

Mpango mkakati kukabiliana na wanyamapori waharibifu, wakali na kuimarisha uhifadhi endelevu

Rawan: Mlima Kilimanjaro umenisaidia Everest

SERIKALI YAELEZA MIKAKATI YAKE KATIKA KUTANGAZA HIFADHI YA TAIFA YA KATAVI

Nyayo inayoaminika kuwa ya Yesu kivutio adimu cha utalii Litembo

WIZARA YA MALIASILI NA UTALI YATOA WITO KWA WANACHI KUEPUKA KUVAMIA MAENEO YA HIFADHI

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.