Posts

VYANZO VYA MSONGO WA MAWAZO VYABAINISHWA

VIJIJI 134 WILAYANI IRINGA VYAFIKIWA NA ELIMU YA UVIKO-19

NIC yaunga mkono Mbio za Capital City Dodoma/ Naibu Spika kuwa Mgeni Rasmi.

NAIBU WAZIRI AWATAKA WATUMISHI WA ARDHI KUONGEZA KASI YA UTOWAJI HATI

TEA KUSIMAMIA UANZISHWAJI WA MIFUKO YA ELIMU KWENYE HALMASHAURI ZOTE NCHINI

WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA COMORO NCHINI, WAKUBALIANA KUENDELEA KUSHIRIKIANA MASUALA YA ULINZI NA USALAMA

TAHADHARI YATOLEWA KWA WANANCHI DHIDI YA UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA

MBEYA KUTENGA BAJETI YA UNYWAJI MAZIWA SHULENI

BARAZA LA WAZEE MKOA WA RUKWA LAZINDULIWA

WANAWAKE CHAMA CHA WAFANYAKAZI TUGHE WAPONGEZWA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.