Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George
Simbachawene (kushoto), akizungumza na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania, Dkt..Ahamada
El Badaoui, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ulinzi na usalama kati
ya Serikali ya Tanzania na Comoro. Kikao hicho kilifanyika ofisi ya Waziri huyo,
jijini Dodoma |
Comments
Post a Comment