Posts

SIKU YA UKIMWI DUNIANI

TARURA watakiwa kushughulikia maeneo korofi msimu wa mvua

Viongozi wapya wa serikali za mitaa wafundwa baada ya kuapishwa

Madaktari na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wajifunza jinsi ya kuokoa maisha ya mtu aliyepata tatizo la dharula la kiafyaMadaktari na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakijifunza jinsi ya kuokoa maisha ya mtoto aliyepata tatizo la dharula la kiafya wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano Taasisi hiyo jijii Dar es Salaam. Mafunzo hayo yanatolewa na wataalamu kutoka kituo cha Emergency Medical Services Academy kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam

Wauguzi wa wodi namba tatu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) waadhimisha utoaji wa huduma bora kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi hiyo kwa kutoa msaada wa dawa kwa wagonjwa wasiokuwa na uwezo wa kulipia gharama za matibabu

WAHITIMU CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE WATAKIWA KUJITOFAUTISHA NA WAHITIMU WA VYUO VINGINE

WAHITIMU CHUO CHA MIPANGO WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA

BREAKING: Arsenal yamfukuza kocha wake Unai Emery

*KURUGENZI YA UKAGUZI WA MIGODI NA MAZINGIRA YAANDAA MWONGOZO WA UKAGUZI WA MIGODI*

*YALIYOJIRI WAKATI WA MKUTANO WA MKUU WA MKOA WA MWANZA MHE. JOHN MONGELLA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU LEO NOVEMBA 27, 2019 JIJINI MWANZA*

KONGAMANO LA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE LAFANYIKA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.