Posts

Bado jamii zinakabiliwa na changamoto za upatikanaji haki: Dkt Mzuri Issa

SANGA AWAPONGEZA RUWASA SONGWE KWA KUKWAMUA MIRADI CHECHEFU

TNGP KUIBUA KERO KONDOA

ALAT MKOA WA DODOMA YAPANDISHA KIWANGO CHA ELIMU

Simbachawene: Makundi ya watu wenye ulemavu yashirikishwe katika mchakato mzima wa Sensa ya Watu na Makazi

JIJI LA DODOMA LAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO

WENYEVITI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUITEREMSHA BAJETI KWA WANANCHI

JIJI LA DODOMA KINARA MICHANGO YA ALAT

Wataalamu 20 kutoka Taasisi ya Moyo Uganda wajifunza utoaji wa huduma za matibabu ya moyo nchini.

OFISI YA WAZIRI MKUU YATOA MAFUNZO YA UJUZI TEPE KWA MAKUNDI MAALUM YA VIJANA SHINYANGA.

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.