Posts

WANANCHI JIJI LA DODOMA WANATARAJIA HUDUMA BORA

NAIBU WAZIRI MUUNGANO NA MAZINGIRA CHANDE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KIWANDA CHA KUREJELEZA MIFUKO

VIONGOZI WA SERIKALI WASHAURIWA KUJADILI MAMBO YANAYOHUSU NCHI NA KUACHANA NA MALUMBANO

MEYA JIJI LA DODOMA ATOA SALAAM ZA MWAKA MPYA 2022

WIZARA YA ARDHI YAKUSANYA ZAIDI YA BILIONI 60 YA KODI YA PANGO LA ARDHI

PALAMAGAMBA KABUDI KUWA MGENI RASMI KWENYE MKESHA WA KULIOMBEA TAIFA

MKUU WA MKOA DAR ATOA MAELEKEZO KWA BARAZA LA MADIWANI

WIZARA YA AFYA YATOA MAFUNZO KWA WARATIBU WA HUDUMA ZA MAABARA NGAZI YA HALMASHAURI

VIWANGO VYA UFAULU SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI VYAONGEZEKA

Rais Samia apongezwa

JESHI LA POLISI DODOMA KWA KUSHIRIKIANA NA IDARA YA UHAMIAJI YAKAMATA WAHAMIAJI HARAMU 51

MPANGO KABAMBE UPELEKAJI NISHATI VIJIJINI WABAINISHWA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.