Posts

JMP Ashinda Uchaguzi Mkuu 2020

Kamati ya Amani Rukwa waipongeza NEC huku RC akionya watakaoleta vurugu

Dkt. Hussein Mwinyi: Rais mteule wa Zanzibar 2020-2025

Sheikh wa Mkoa wa Rukwa akanusha uzushi unaoenea mitandaoni wenye lengo la kumchafua

JESHI LA POLISI KUENDELEA KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA WAKATI WA MAJUMUISHO YA KURA

WAZAZI WANAAMINI KUMPIGA MTOTO NDIO KUMFUNDISHA ADABU JAMBO AMBALO SI SAHIHI-MDENDEMI

WAKULIMA KIJIJI CHA LEGANGA WAMUANGUKIA RAIS MAGUFULI

VIONGOZI WA DINI WASHAURIWA KUWAHIMIZA WAUMINI KUWAOMBEA WANASIASA

ANTHONY MAVUNDE AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA DODOMA MJINI

Viongozi wa dini Rukwa watahadharisha fujo siku ya Uchaguzi huku wakiliombea Taifa

TUME ya haki za binadamu na utawala bora Tanzania yaipongeza Serikali

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.