Posts

DKT. MOLLEL AHIMIZA USHIRIKISHAJI WA WAKUU WA MIKOA /WILAYA KATIKA MAPAMBANO YA MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE

BODI YA REA YAAGWA NA KUTUNUKIWA TUZO KWA UTUMISHI WENYE TIJA

Masauni ataja vyanzo vya matukio ya mauji hapa nchini

Dk. Jafo: Pandeni mikoko kwa wingi

WATAALAM WA AFYA 60 WAPATIWA MAFUNZO YA MOYO DAR ES SALAAM

MASAUNI AITAKA UNHCR KUFUATA SHERIA, MWAKILISHI MKAZI MPYA AJITAMBULISHA KWA WAZIRI, AIPONGEZA SERIKALI KWA KUPOKEA, KUHIFADHI WAKIMBIZI NCHINI

Prof. Janabi afungua mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi

WATUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAFURAHIA UJENZI WA MAKAO MAKUU

MHANDISI MASAUNI APANGA KUKUTANA NA WAKUU WA JESHI LA POLISI KUJADILI JINSI YA KUDHIBITI MAUAJI.

POSTA YATAKIWA KUTUMIA ANWANI ZA MAKAZI KUBUNI HUDUMA MPYA KWA WATEJA

WAZIRI JAFO ATAKA KUONGEZA KASI UCHIMBAJI VISIMA UNGUJA

Mtaka:Siwezi kujenga madarasa ,tulete madawati ushindwe kuleta mtoto shule

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.