Prof. Janabi afungua mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi

Daktari bingwa wa mifupa ambaye pia ni Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) akiwafundisha washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya jinsi ya kumuhudumia mgonjwa  wa dharura na mahututi inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini

Washiriki wa  mafunzo  ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa  wa dharura na mahututi iliyoandaliwa na  kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) inayofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kuwahudumia wagonjwa hao . Washiriki wa mafunzo hayo ya siku mbili ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini

Daktari bingwa wa mifupa ambaye pia ni Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) akiwafundisha washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya jinsi ya kumuhudumia mgonjwa  wa dharura na mahututi inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifungua mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa  wa dharura na mahututi iliyoandaliwa na  kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) inayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini

Comments

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.