Posts

Shinikizo la damu ni tatizo lenye idadi kubwa ya wagonjwa kwa asilimia 70 Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

WIZARA YA KILIMO YASAINI MAKUBALIANO NA SHIRIKA LA BRITEN KUKUZA KILIMO BIASHARA

Nchini Tanzania kila mwaka takribani watoto elfu 11,000 huzaliwa na sikoseli-Kiologwe

TAASISI YA HABARI DEVELOPMENT ASSOCIATION YALAANI MATAMSHI YA UCHOCHEZI YANAYOTOLEWA NA BAADHI YA WAGOMBEA KATIKA KAMPENI

WATUMISHI WIZARA YA KILIMO WAPATIWA MAFUNZO YA UADILIFU

NGARA WASISITIZWA KUTUNZA MIRADI YA KIJAMII

TRA DODOMA YAWAKUMBUSHA WAFANYABIASHARA KULIPA KODI YA MAPATO AWAMU YA TATU 2020.

LATRA yatangaza nauli za treni ya abiria Moshi - Arusha

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.