Posts

NHIF TATUENI MALALAMIKO YA UPATIKANAJI WA BAADHI YA DAWA:WAZIRI UMMY MWALIMU

Wanafunzi Shule ya Msingi Dodoma Mlimani waeleza Furaha yao Baada ya kurejea Shuleni,Tutasoma kwa Bidii,Tuliwakumbuka sana Walimu wetu, Muda wa kucheza haupo tena

CHUO KIMETENGA FUNGU MAALUMU KWAAJILI YA KUWASAIDIA WANATAALUMA WACHANGA WANAOCHIPUKIA-MWAKALOBO

NDALICHAKO AZINDUA VETA NYAMIDAHO KIGOMA

SERIKALI YAENDELEA KUBORESHA MFUMO WA HUDUMA KWA WATEJA KATIKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA.

WAZIRI SIMBACHAWENE ASHANGAA MAGARI YA SEKONDARI YA MAGEREZA KUSAJILIWA NAMBA BINAFSI, ATOA SIKU MOJA APEWE TAARIFA

RC MAKONDA AZIDI KUWANYIMA USINGIZI WAPINZANI DAR, AKABIDHI MIRADI ILIYOTEKELEZWA NA SERIKALI YA RAIS MAGUFULI KUPITIA ILANI YA CCM

MAGAZETI YA JINI 30 2020

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.