BREAKING: Arsenal yamfukuza kocha wake Unai Emery


Baada ya kuifundisha club ya Arsenal kwa takribani miezi 18, club ya Arsenal leo imetangaza maamuzi magumu ya kumfuta kazi aliyekuwa kocha wake Unai Emery.
Arsenal wamefikia maamuzi hayo baada ya kufungwa katika mchezo wa jana wa UEFA Europa League wakiwa katika uwanja wao wa Emirates na kupoteza 2-1 dhidi ya Frankfurt.
Freddie Ljungberg ndio atakuwa kocha wa muda wakati huu uongozi wa Arsenal ukiwa unatafuta mbadala wake.

Comments

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.