KIKAO KAZI CHA TIMU YA WATAALAM WA HIFADHI YA JAMII KUPITIA NA KUBORESHA RASIMU YA SERA YA TAIFA YA HIFADHI YA JAMII

Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wataalamu elekezi wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika Wizara na Taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii

Mtaalamu elekezi ndg. Anthony Hodge akifafanua jambo kwa washiriki wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika Wizara na Taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii

Comments

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.