Posts

Serikali yalenga kuimarisha usawa mapambano virusi vya UKIMWI

WATUMISHI WA MAHAKAMA MPYA ZA WILAYA WAENDELEA KUPIGWA MSASA

SERIKALI: LENGO LETU NI KUJENGA MAZINGIRA BORA YA UFANYAJI BIASHARA KWENYE SEKTA YA MIFUGO

TAKUKURU DODOMA: TUMEANZISHA UFUATILIAJI WA ZOEZI LA UGAWAJI WA PEMBEJEO ZA KILIMO ILI KUZUIA UDANGANYIFU

MAADHIMISHO WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KUINUA UCHUMI JUMUISHI

WAKALA WA MAENDELEO YA UONGOZI WA ELIMU (ADEM) YAJIPANGA KUENDELEA KUTOA MAFUNZO KWA WALIMU WAKUU

ULETAJI WA MAFUTA KWA PAMOJA UNA TIJA-PAC

WADAU WA SEKTA YA MISITU WAFUNDWA KUSIMAMIA MISITU YA ASILI

WANUFAIKA WA TASAF KULIPWA 261,835,350 JIJINI DODOMA

MKURUGENZI MAFURU ARIDHISHWA MAANDALIZI MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.