Posts

WALIMU 258,291 NA WADAU WENGINE KUNUFAIKA NA TOVUTI MPYA YA TUME BAADA YA WADAU WA AWALI 182,650 KUNUFAIKA NA ILE YA AWALI

Wataalamu wa moyo waongezewa ujuzi wa jinsi ya kufanya kipimo cha kuangalia moyo unavyofanya kazi

DKT. JAFO: UHIFADHI WA MAZINGIRA NI JUKUMU LA KILA MMOJA

SERIKALI KUWEKA UTARATIBU WA KUTOA ELIMU KWA WATUMISHI KUHUSU KANUNI MPYA YA MAFAO YA PENSHENI

HAKI ZA WATUMISHI WA UMMA ZITAENDELEA KUBORESHWA-MHAGAMA

DC Wete apongeza Mradi wa VIUNGO kusaidia kuimarisha Uchumi wa Wakulima Zanzibar

WIZARA YATOA RAI KWA WADAU WA SEKTA YA UTALII NCHINI KUENDELEZA PROGRAMU YA ROYAL TOUR, YAGAWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA UVIKO -19

WANANCHI DODOMA WASHAURIWA KULIMA ZABIBU

SENSA YA MAJARIBIO ILIFANIKIWA DODOMA

DODOMA WASHAURIWA KUSHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.