Posts

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuchanja chanjo dhidi ya UVIKO – 19

JAMII YATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE ULINZI WA MTOTO JIJI LA DODOMA

JIEPUSHENI KUTUMIA USAFIRI WA WANAOSHITAKIANA MABARAZA YA ARDHI-NAIBU WAZIRI MABULA

PICHA: UFUNGUZI WA SEMINA MAFUNZO KWA WADAU WA USAFIRISHAJI

Lugangira asema iko haja ya kupunguza msongamano wa wafungwa Gerezani

WATAALAM MIPANGOMIJI WATAKIWA KUTENGA MAENEO YA WAFANYABIASHARA

WATALAAM KUTOKA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA

VIONGOZI WA SKIMU ZA UMWAGILIAJI WATAKIWA KUSIMAMIA UKUSANYAJI WA ADA NA TOZO.

WAZIRI AWESO ATOA ONYO KWA WATAKAO TUMIA VIBAYA FEDHA ZA MIRADI YA MAJI

TAMISEMI wazoa Medali kibao katika Riadha

SERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA KAMPENI YA MAENDELEO KWA USTAWI WA TAIFA NA MAPAMBANO DHDI YA UVIKO-19

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.