Posts

MAKATIBU WAKUU 4 WAKAGUA MRADI WA UJENZI MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI MOROGORO

MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA NCHINI

Mazishi ya Naibu meya Morogoro Kusimamiwa na Serikali

NMB yatoa Milioni 30 kuunga mkono jitihada za Serikali mapambano dhidi ya Corona

Serikali yaiagiza NFRA kujiendesha kibiashara

Profesa Mbarawa ataja mwarobaini wa ukamilishaji wa miradi ya maji nchini

NAIBU WAZIRI MGALU AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA KAZI KWA WAKATI

MKURUGENZI WA JIJI DODOMA AMPONGEZA JPM MAPAMBANO YA CORONA

CD KUNAMBI AWATAKA WAZAZI KUSIMAMIA WANAFUNZI KUSOMA KUPITIA REDIO

MKURUGENZI KUNAMBI AFURAHIA UBUNIFU WA WAKUU WA IDARA ELIMU MSINGI NA SEKONDARI JIJI LA DODOMA

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAIBUKA NA MKAKATI WA KUFUNDISHA WANAFUNZI MAPUMZIKO YA CORONA

MVIWATA KUIMARISHA MAWASILIANO NA TAASISI WENZA

Jamii yaaswa kutowanyanyapaa wafungwa wanaoachiwa huru

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.