Posts

MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA YAFIKIA ASILIMIA 99

HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE -MAKAMBA

TANZANIA YAPIGA HATUA UTOAJI MIKOPO YA NYUMBA

BALOZI UMOJA WA NCHI ZA ULAYA AMTEMBELEA JAJI MKUU

TANZANIA YAPIGA HATUA UTOAJI MIKOPO YA NYUMBA

MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025

TAMWA-ZNZ kwa kushirikiana na NED waja na mkakati mpya kuwajengea uwezo wanahari vijana 18 Z’bar

DKT MABULA ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA SHELTER AFRIQUE VICTORIA FALLS ZIMBABWE

LATRA:TUMEWEKEZA KWA KIASI KUKUBWA KATIKA MIRADI YA KUBORESHA MIUNDOMBINU

Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikia

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.