Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya Mheshimiwa Comred Juma
Zuberi
Homera amesema maandalizi ya maonesho ya
nane nane
kitaifa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
yamekamilika
kwa asilimia 99.
Kwa Mujibu
wa Homera maonesho hayo yanafanyika
katika
viwanja vya John Mwakangale kuanzia Agosti Mosi
hadi
8/8/2022 ambapo mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa
maonesho
hayo Agosti Mosi anatarajiwa kuwa Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa
Dkt Philipo Isdory Mpango
Kaulimbiu ya
maonesho ya nanenane mwaka huu ni
Ajenda 10/30
Kilimo ni biashara ,shiriki kuhesabiwa kwa
mipango bora
ya kilimo,Mifugo na Uvuvi.
Kanda ya
Nyanda za Juu Kusini inajumuisha mikoa ya
Ruvuma,Mbeya.Njombe.Songwe.Rukwa,Katavi
na Iringa.
Comments
Post a Comment