Posts

Ahadi kwa Mhe. Rais Samia Yafanikishwa, KM Maji Mhandisi Sanga

DC BUHIGWE NA VIONGOZI REA WAJADILI MIRADI YA UMEME VIJIJINI

KIKAO CHA WATAALAMU CHAHITIMISHWA RASMI MJINI MOROGORO

MTAKA AAGIZA KUPELEKWA WALIMU KWA SHULE ZENYE UHABA WA WALIMU

SIMIYU KUJA NA MKAKATI WA KUFIKIA MALENGO UVALISHAJI HERENI MIFUGO

WAZIRI MAKAMBA ATOA MAELEKEZO KWA VIONGOZI WA REA

JIJI LA DODOMA LAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA MOHAMED BUILDER LDT KWAAJILI YA UJENZI WA SOKO LA WAMACHINGA

WAZIRI LUKUVI AKAGUA UIMARISHAJI MPAKA WA KIMATAIFA BAINA YA TANZANIA NA KENYA

SERIKALI KUFANYA JITIHADA ZA WAVUVI KUPATA SAMAKI WENYE UHAKIKA

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.