KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAKUTANA DODOMA

 

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI na Dawa za Kulevya Mhe. Fatma Taufiq (Mb.) akifafanua jambo wakati wa kikao hicho jijini Dododma


Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mkakati wanne wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI katika kikao hicho



Meneja wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI Dkt. Anath Rwebembera (aliyesimama) akiwasilisha akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Masuala ya UKIMWI katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma



Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati wa kikao cha mawasilisho ya Utekelezaji wa Mkakati wanne wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI mbele ya Kamati ya Kudumu ya Masuala ya UKIMWI katika Ukumbi wa Bunge, Jijini Dodoma


Comments

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.