Benki ya CRDB yaichangia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo


Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa akimkabidhi  Mkurugenzi  Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa  watoto ambapo hadi sasa imechangia milioni 100

Mkurugenzi  Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa amenyanyua mkono ikiwa ni  ishara ya kumshukuru  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa mara baada ya kumkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 fedha ambazo zitatumika kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa  watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa benki ya CRDB Tully Mwambapa akizungumza na menejimenti ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kabla ya kukabidhi  mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa  watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi milioni 100


Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi  akiushukuru uongozi wa benki ya CRDB kwa mchango wao wa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo. Mwaka jana benki hiyo ilitoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo hadi sasa imechangia shilingi  milioni 100

Comments

Dodoma News
Mwanza City, Mwanza, Tanzania
Dennis G. Harrison, mmiliki mwenza wa Mtandao wa Dodoma News Blog, alizaliwa mkoani Morogoro zaidi ya miaka 40 iliyopita. Dennis ana Taaluma ya Uandishi wa Habari (Proffessional Journalism) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT). Mwaka 2009 alimaliza Shahada ya Uzamili katika Mawasiliano ya Umma, ikijikita katika Menejimenti ya Uhusiano kwa Umma na Matangazo katika chuo cha SAUT. Mwaka 2002, Dennis aliajiriwa katika Shirika la Posta Tanzania, Ofisi kuu ya Mwanza. Mwaka 2009 aliajiriwa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa nafasi ya Afisa Habari. Akiwa katika ofisi hiyo alifanya kazi kwa juhudu na maarifa na kufanikiwa kuchaguliwa na wafanyakazi wote kuwa mfanya kazi bora. Kufuatia juhudi na utendaji kazi wake, alipanda hadi nafasi ya Afisa Habari Mwandamizi.