Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula
akiwasili katika Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
lilipo mpakani mwa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula Wilaya ya Misenyi Mkoa
wa Kagera kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake juzi mkoani Kagera
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akiwa
ndani ya Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo
mpakani mwa Tanzania na Uganda eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi alipokwenda
kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo juzi mkoani Kagera. Kushoto kwa Naibu
Waziri ni Mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali Denis Mwila
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akiwa
na Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Kanali Denis Mwila akitoka katika Jengo la Kitega
Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilipo mpaka wa Tanzania na Uganda
eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi Mkoa wa Kagera alipokwenda kukagua maendeleo
ya ujenzi wake juzi mkoani Kagera
Jengo
la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo mpakani mwa
Tanzania na Uganda eneo la Mutukula wilaya ya Misenyi mkoani Kagera likiwa
katika hatua za ukamilishaji kama linavyoonekana
Comments
Post a Comment